Februari 24 inatimia miaka minne tangu Urusi ilipoanzisha uvamizi wake nchini Ukraine. Marekani inaendelea kuratibu ...
Urusi iliivamia kikamilifu Ukraine Februari, 24, 2022, kitendo kilichoibua vita vikubwa kabisa ambavyo havijashuhudiwa barani Ulaya tangu vile vya Pili vya Dunia. Ukraine inafanya kumbukumbu ya miaka ...
Takriban watu 74 wamekufa nchini Mexico, wakiwemo maafisa 25 wa ulinzi wa kitaifa katika operesheni iliyomuua kiongozi wa kundi la kigaidi la Jalisco New Generation (CJNG) anayejulikana kama "El Mench ...
Kwa mara ya kwanza baada ya wiki kadhaa, Urusi imevunja ukimya wake na kuamua kuzungumzia suala la wapiganaji wa Kiafrika ...
Zaidi ya mwezi mmoja baada ya kufungiwa katika Hoteli ya Decapolis huko Panama City, makumi ya wahamiaji wa Asia na Kiafrika waliofukuzwa kutoka Marekani wanabaki Panama, kwa kukosa mahala pa kwenda.
Nchini Liberia, utata unazuka kuhusu kundi la kujilinda la Fulani, "National Fula Security of Liberia." Ili kuangazia kundi ...
Idadi ya watalii wa kigeni nchini Japani ilipungua mwezi Januari kwa asilimia 4.9 kutoka mwezi kama huo mwaka jana, kwa kiasi fulani ni kutokana na kupungua kwa idadi ya wasafiri kutoka China huku uhu ...
Kizza Besigye, ni mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, ambaye misukosuko kisiasa kwake si jambo geni. Besigye amefikishwa ...
Kwa Donald Trump, Somalia ni nchi ambayo "inanuka" na wale waliohama kutoka huko kwenda Marekani na wazao wao, "takataka" ambazo lazima ziondolewe. Rais wa Marekani alishangaza Jumanne iliyopita kwa ...
DAR ES SALAAM :KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imetembelea kituo mama cha kushindilia gesi asilia cha ...
DAR ES SALAAM: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza mkakati wa kukuza ubunifu wa wahandisi wa ndani kwa kuahidi kuzawadia mawazo ya kibunifu yatakayotatua changamoto zilizopo nchini. Akizungum ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results